WAKALA KITAANI KWAKO

Mpendwa Mteja wa BancABC,
Tunapenda kukutaarifu kuwa unaweza kuokoa muda na gharama kwa kupata huduma za benki yetu kupitia BancABC Wakala aliye Mtaani kwako. Pata huduma kama:

  • Kuweka Pesa katika prepaid kadi ama akaunti yako
  • Kutoa Pesa kutoka kwenye prepaid kadi ama akaunti yako
  • Kufungua akaunti ama kununua kadi ya "prepaid"

Furaha tele na BancABC Wakala Kitaani Kwako!

Kwa msaada zaidi Piga: 0779 111 000 au 0800714141

BOFYA HAPA KUTEMBELEA WAKALA KITAANI KWAKO

 
 

For secure, convenient fast and reliable 24 hour banking

Investor Relations

BancABC aims to provide the investor community with transparent and timeous information. This is undertaken through a proactive process whereby information is continually and broadly disseminated to the financial community and the investing public, ensuring that the Group is accurately valued in the marketplace...

Visit investors page